HomeMy WebLinkAboutTransit Study handout - Open House 2020 info_SwahiliMATUKIO
ya Wazi
kwa Umma
Hudhuria maonyesho ya muda
mfupi saa 6 p.m, kisha zingatia
hali zinazowezekana za kuunda
tena mfumo wa usafiri.
Jumanne, Januari 28
Maktaba ya Umma ya Jiji la Iowa (Chumba cha Mikutano A)
Jumatano, Januari 29
Iowa Memorial Union (Divine Nine Room #335)
Alhamisi, Januari 30
Ukumbi wa Jiji wa Coralville
Safari ZISIZOLIPISHWA kwenda nyumbani! Magari ya usafiri yanaondoka ICPL
saa 6:30, 7:00, 7:30 na 8:00 PM
Safari ZISIZOLIPISHWA za Jiji la Iowa kati ya Mabadilishano ya Safari Katikati mwa Mji na IMU kuanzia
saa 5:30 hadi 8:15 PM
6:00-8:00 PM
6:00-8:00 PM
6:00-8:00 PM
Kwa maelezo zaidi kuhusu Utafiti wa
Usafiri katika Eneo la Jiji la Iowa na ili
kutoa maoni yako mtandaoni, tembelea
Raundi ya2