HomeMy WebLinkAboutSWAHILI Bicycle Rules of the RoadEndesha baiskeli yako ni kama unaendesha gari:
1. Endeshea kwenye upande wa kulia wa barabara ukielekea upande sawa na traflki nyingine.
2. Fuata ishara na alama zote za traflki, ikiwa ni pamoja na ishara za SIMAMA na alama za traflki.
3. Usipinde kwa ghafia ndani na nje katikati ya magari yanayoendeshwa au yaliyoegeshwa.
4. Acha nafasi kati yako na magari yaliyoegeshwa ili usigongwe na mlango unaofunguliwa.
5. Angalia nyuma yako ili uone magari yanayokaribia kabla hujabadilisha barabara au kugeuka.
6. Tumia ishara za mikono kabla hujabadilisha barabara, kugeuka au kusimama.
7. Unahitaji taa na viakisi vya baiskeli unapoendesha baiskeli kwenye giza.
Watu wazima wanapaswa kuepuka kuendeshea kwenye njia ya kutembelea kwa miguu isipokuwa ambapo njia pana ya kutembelea kwa miguu (futi 8 hadi 10) imetengwa.
Yanayopendekezwa kwa ajili ya usalama wako: kuvaa helmeti ya baiskeli kila wakati na nguo zenye rangi nyeupe au zinazoakisi mwangaza usiku.
USITUMIE spika za masikioni au vipokea sauti vinavyobanwa kichwani unapoendesha.
Gonga kengele ya baiskeli au useme “kwenye upande wako wa kushoto” unapowapita waendeshaji aiskeli wengine au wanaotembea kwa miguu.
Ishara ya mkono
wa KULIA.
TAA na
VIAKISI
wakati
wa usiku.
Usipinde
kwa
ghafia.
Acha
nafasi
karibu na
magari
yaliyoegeshwa.
ANGALIA kabla
ya kubadilisha
barabara au
kugeuka.
2
KULIA
6
May 2020
Metropolitan Planning Organization of Johnson County
MPOJC.org
KUSHOTO SIMAMA KULIA
3 ft
1 M
Ishara ya
mkono wa
SIMAMA.
2
7
6
5
3
4
6
1
Endeshea kwenye barabara
sahihi NA UTARATIBU wa traflki.
KANUNI ZA BARABARANI
Ishara ya
mkono wa
KUSHOTO.
FUATA
ishara
zote za
traflki.